PropertyValue
?:author
?:datePublished
  • 2019-09-10 (xsd:date)
?:headline
  • Mugabe brought back to life? No, photoshopped image of televangelist’s South African stunt (en)
?:inLanguage
?:itemReviewed
?:mentions
?:reviewBody
  • Bonyeza hapa ili kusoma ripoti hii kwa Kiswahili. Former Zimbabwean president Robert Mugabe died on 6 September 2019. But has he since been resurrected? An image on Facebook shows a man with Mugabe’s face sitting up in a coffin. A jubilant crowd is seen behind. The caption reads: BREAKING NEWS! Mugabe amefufuka! The Kiswahili loosely translates as Mugabe has risen. Photo from notorious Alph Lukau ‘resurrection’ But Mugabe’s face has been photoshopped onto the image. A reverse image search shows that the original photo is among many others that went viral in February 2019 when Congolese televangelist Alph Lukau claimed to resurrect a man at his Alleluia Ministries International church in South Africa. The resurrected man hadn’t died at this time and was later identified as Brighton Moyo, a Zimbabwean. A number of media houses reported that he later died in Zimbabwe. Lukau shared the photos on Twitter with a quote from the Bible: Now to Him who is able to do immeasurably more than all we ask or imagine, according to His power that is at work within us. He also shared a video of the fake resurrection. The story was picked up by local and international news. Mugabe’s face planted on Moyo was lifted from a Reuters photo taken in 29 July 2018. It was one of many used in a report on Zimbabwe’s 2018 election. – Dancan Bwire Mugabe amefufuka? Hapana, picha ya kitendo cha mhubiri wa Afrika Kusini ilibadilishwa kidijitali Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe alikufa mnamo tarehe 6 Septemba 2019. Lakini je, amefufuka tangu siku hiyo? Picha kwenye Facebook inaonyesha mtu mwenye uso wa Mugabe ameketi kwenye jeneza. Umati wa watu wenye furaha unaonekana nyuma. Maelezo katika chapisho hilo yasema: BREAKING NEWS! Mugabe amefufuka! Picha kutoka ‘ufufuo’ maarufu ya Alph Lukau Lakini uso wa Mugabe ulibadilishwa kidijitali na kuwekwa kwenye picha hii. Utafiti katika mtandao unayoonyesha kuwa picha ya asili ni kati ya nyingine nyingi ambazo zilivuma mnamo Februari 2019 wakati muinjilisti wa televisheni wa Kongo Alph Lukau alidai kumfufua mtu katika kanisa lake la Alleluia Ministries International huko Afrika Kusini. Mtu aliyefufuka hakufa wakati huu. Baadaye alitambuliwa kama Brighton Moyo, raia wa Zimbabwe. Vyombo vya habari viliripoti kwamba alikufa nchini Zimbabwe baadaye. Lukau alichapisha picha hizo kwenye Twitter na nukuu kutoka Bibilia: Sasa kwake Yeye ambaye anaweza kufanya vizuri zaidi kuliko yote tunayo omba au kufikiria, kulingana na nguvu Yake ambayo inafanya kazi ndani yetu. Alichapisha pia video ya ufufuo huo wa uongo. Hadithi hiyo ilitangazwa na vyombo vya habari vya ndani na vya kimataifa . Uso wa Mugabe uliowekwa kwenye uso wa Moyo ulikatwa kutoka picha ya Reuters iliyochukuliwa mnamo tarehe Julai 29, 2018. Ilikuwa moja ya nyingi zilizotumiwa katika ripoti kuhusu uchaguzi wa Zimbabwe wa 2018. – Dancan Bwire (sw)
?:reviewRating
rdf:type
?:url